Kuhusu Mkopo wa wafanyabiashara
Mikopo yetu ya Biashara inatoa suluhisho la kifedha lilizobuniwa mahususi kwa ajili ya biashara kubwa, ndogo na zinazokua. Iwe unahitaji kuongeza bidhaa, kuboresha vifaa, au kupanua shughuli zako, tupo hapa kukupa mikopo yenye masharti nafuu inayolingana na mahitaji ya biashara yako
Vigezo vya kupata Mkopo wa wafanyabiashara
Mwombaji awe na nakala ya kitambulisho cha nida au passport ya kusafiria
Taarifa ya benki ya miezi sita (6)
Awe na namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN)
Lazima awe na leseni ya biashara
Lazima awe na mdhamini
Faida za Mkopo wa wafanyabiashara
Riba Nafuu
Kujengewa Uwezo
Mkopo rahisi
Furahia masharti ya marejesho ya gharama nafuu yaliyoundwa mahsusi kwa taasisi za kibiashara.
Pata Elimu ya kifedha na nidhamu ya biashara ili kutumia mkopo kwa ufanisi zaidi.
Kopa kulingana na mahitaji yako bila kulazimishwa kufuata kiwango fulani.
Wasiliana Nasi
-
Mwenge, Mkabala na Chuo Kikuu cha Tumaini
S.L.P 35059, Dar es Salaam, Tanzania -
+255 743 771 258
- info@upliftmicrofinance.co.tz
Kipeperushi
Tazama Kipeperushi kwa mwongozo rahisi wa kusoma kuhusu huduma zote tunazotoa.
